1 Kings 6:5-6
5 aAkafanyiza vyumba vya pembeni kulizunguka Hekalu lote vikishikamana na kuta za Hekalu na za Patakatifu pa Patakatifu. 6 bGhorofa ya chini kabisa ilikuwa na upana wa dhiraa tano, ▼▼Dhiraa 5 ni sawa na mita 2.25.
ya kati ilikuwa dhiraa sita na ya tatu ilikuwa dhiraa saba. ▼▼Dhiraa saba ni sawa na mita 3.15.
Kuzunguka ukuta wa nje wa Hekalu akapunguza ukuta pande zote ili boriti zisishikane kwenye kuta za Hekalu.
Copyright information for
SwhNEN