1 Samuel 2:7-8
7 a Bwana humfanya mtu maskini naye hutajirisha,hushusha na hukweza.
8 bHumwinua maskini kutoka mavumbini
na humwinua mhitaji kutoka lundo la majivu;
huwaketisha pamoja na wakuu
na kuwafanya warithi kiti cha enzi cha heshima.
“Kwa kuwa misingi ya dunia ni ya Bwana;
juu yake ameuweka ulimwengu.
Copyright information for
SwhNEN