1 Samuel 7:6
6 aWalipokwisha kukutanika huko Mispa, walichota maji na kuyamimina mbele za Bwana. Siku hiyo walifunga na wakaungama, wakisema, “Tumetenda dhambi dhidi ya Bwana.” Naye Samweli alikuwa kiongozi ▼▼Kiongozi hapa maana yake mwamuzi.
wa Israeli huko Mispa.
Copyright information for
SwhNEN