2 Samuel 5:7-9
7 aHata hivyo, Daudi akaiteka ngome ya Sayuni, Mji wa Daudi.8 bSiku ile, Daudi akasema, “Yeyote ambaye atawashinda Wayebusi, atatumia huo mfereji kuwafikia hao ‘viwete na vipofu’ ambao ni adui za Daudi.” Ndiyo sababu wanasema, “ ‘Vipofu na viwete’ hawataingia kwenye jumba la ufalme.”
9 cNdipo Daudi akafanya makao ndani ya ngome na kuiita Mji wa Daudi. Akajenga eneo linalozunguka kuanzia Milo ▼
▼Milo maana yake Boma la Ngome.
kuelekea ndani.
Copyright information for
SwhNEN