Acts 27:28
28Kwa hiyo wakapima kina cha maji na kukuta kilikuwa pima ishirini, ▼▼Pima 20 ni kama mita 40.
baada ya kuendelea mbele kidogo wakapima tena wakapata kina cha pima kumi na tano. ▼▼Pima 15 ni kama mita 30.
Copyright information for
SwhNEN