Amos 4:1
Israeli Hajarudi Kwa Mungu
1 aSikilizeni neno hili, ninyi ngʼombe wa Bashani
mlioko juu ya Mlima Samaria,
ninyi wanawake mnaowaonea maskini,
na kuwagandamiza wahitaji,
na kuwaambia wanaume wenu,
“Tuleteeni vinywaji!”
Copyright information for
SwhNEN