Amos 5:15-16
15 aYachukieni maovu, yapendeni mema;dumisheni haki mahakamani.
Yamkini Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote
atawahurumia mabaki ya Yosefu.
16 bKwa hiyo hili ndilo Bwana, Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, asemalo:
“Kutakuwepo maombolezo katika barabara zote
na vilio vya uchungu katika njia kuu zote.
Wakulima wataitwa kuja kulia,
na waombolezaji waje kuomboleza.
Copyright information for
SwhNEN