Amos 8:1-2
Maono Ya Nne: Kikapu Cha Matunda Yaliyoiva
1Hili ndilo alilonionyesha Bwana Mwenyezi katika maono: kikapu cha matunda yaliyoiva. 2 aAkaniuliza, “Amosi, unaona nini?”Nikajibu, “Kikapu chenye matunda yaliyoiva.”
Ndipo Bwana akaniambia, “Wakati umewadia kwa watu wangu Israeli; sitawahurumia zaidi.”
Copyright information for
SwhNEN