Ezekiel 30:13-16
13 a“ ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo:“ ‘Nitaangamiza sanamu
na kukomesha vinyago katika Memfisi ▼
▼Kiebrania ni Nofu.
Hapatakuwepo tena na mkuu katika nchi ya Misri,
nami nitaeneza hofu katika nchi nzima.
14 cNitaifanya Pathrosi ▼
▼Pathrosi ni Misri ya Juu.
kuwa ukiwana kuitia moto Soani,
nami nitaipiga kwa adhabu Thebesi ▼
▼Thebesi kwa Kiebrania ni No (au No-Amoni), mji katika Misri.
15Nitaimwaga ghadhabu yangu juu ya Pelusiumu, ▼
▼Kiebrania ni Sini.
ngome ya Misri,
nami nitakatilia mbali
makundi ya wajeuri wa Thebesi.
16 gNitaitia moto nchi ya Misri;
Pelusiumu itagaagaa kwa maumivu makuu.
Thebesi itachukuliwa na tufani,
Memfisi itakuwa katika taabu daima.
Copyright information for
SwhNEN