aMwa 8:20; 17:1, 8; 18:1; 26:2; 35:1; 13:4, 15-17; 15:18; 23:18; 24:7; 26:3-4; 28:13; 35:12; 48:4; 50:24; Kut 6:4-8; 6:3; 13:5, 11; 32:13; 33:1; Mdo 7:2, 5; Hes 10:29; 11:12; Kum 1:8; 2:31; 9:5; 11:9; 34:4; 30:5; Ebr 11:8; Rum 4:13; 2Fal 25:21; 1Nya 16:16; 2Nya 20:7; Za 109:9-11; Yer 25:5; Eze 47:14; Gal 3:16
Genesis 12:7-8
7 aBwana akamtokea Abramu, akamwambia, “Nitawapa uzao wako nchi hii.” Hivyo hapa akamjengea madhabahu Bwana aliyekuwa amemtokea.8 bKutoka huko Abramu akasafiri kuelekea kwenye vilima mashariki ya Betheli, naye akapiga hema huko, Betheli ikiwa upande wa magharibi na Ai upande wa mashariki. Huko alimjengea Bwana madhabahu na akaliitia jina la Bwana.
Copyright information for
SwhNEN