Genesis 16:3-4
3 aHivyo baada ya Abramu kuishi katika nchi ya Kanaani miaka kumi, Sarai akamchukua mtumishi wake wa kike wa Kimisri, Hagari na kumpa mumewe awe mke wake. 4 bAkakutana kimwili na Hagari, naye akapata mimba.Hagari alipojua kuwa ana mimba, alianza kumdharau Sarai.
Copyright information for
SwhNEN