Genesis 29:31-32
Wana Wa Yakobo
31 a Bwana alipoona kwamba Lea hapendwi, akampa watoto, lakini Raheli alikuwa tasa. 32 bLea akapata mimba akazaa mwana. Akamwita Reubeni, ▼▼Reubeni maana yake Ona mwana, yaani Yehova ameangalia taabu yangu.
kwa maana alisema, “Ni kwa sababu Bwana ameona huzuni yangu. Hakika mume wangu sasa atanipenda.”
Copyright information for
SwhNEN