Genesis 29:34
34Akapata tena mimba, naye alipozaa mwana, akasema, “Sasa afadhali mume wangu ataambatana na mimi, kwa sababu nimemzalia wana watatu.” Kwa hiyo akamwita Lawi. ▼▼Lawi maana yake Nimeunganishwa, yaani na mume wangu.
Copyright information for
SwhNEN