Genesis 50:11
11 aWakanaani walioishi huko walipoona maombolezo yaliyofanyika katika sakafu ile ya kupuria ya Atadi, wakasema, “Wamisri wanafanya maombolezo makubwa.” Kwa hiyo mahali pale karibu na Yordani pakaitwa Abel-Mizraimu. ▼▼Abel-Mizraimu maana yake Maombolezo ya Wamisri.
Copyright information for
SwhNEN