Habakkuk 3:9-11
9 aUliufunua upinde wakona kuita mishale mingi.
Uliigawa dunia kwa mito;
10 bmilima ilikuona ikatetemeka.
Mafuriko ya maji yakapita huko;
vilindi vilinguruma
na kuinua mawimbi yake juu.
11 cJua na mwezi vilisimama kimya mbinguni
katika mngʼao wa mishale yako inayoruka,
na katika mngʼao wa mkuki wako umeremetao.
Copyright information for
SwhNEN