Jeremiah 51:35
35Jeuri iliyofanyiwa miili yetu ▼▼Au: Jeuri tuliyofanyiwa sisi na watoto wetu.
na iwe juu ya Babeli,”
ndivyo wasemavyo wakaao Sayuni.
“Damu yetu na iwe juu ya wale waishio Babeli,”
asema Yerusalemu.
Copyright information for
SwhNEN