Leviticus 18:7-8
7 a“ ‘Usimvunjie heshima baba yako kwa kukutana kimwili na mama yako. Yeye ni mama yako; usiwe na mahusiano kama hayo naye.
8 b“ ‘Usikutane kimwili na mke wa baba yako; hiyo itamvunjia heshima baba yako.
Copyright information for
SwhNEN