Proverbs 5:3-5
3 aKwa maana midomo ya mwanamke kahabahudondoza asali,
na maneno ya kinywa chake
ni laini kuliko mafuta;
4 blakini mwisho wake ni mchungu kama nyongo,
mkali kama upanga ukatao kuwili.
5 cMiguu yake hushuka kuelekea kwenye kifo;
hatua zake huelekea moja kwa moja kaburini. ▼
▼Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol.
Copyright information for
SwhNEN