Psalms 10:7-10
7 aKinywa chake kimejaa laana, uongo na vitisho;shida na ubaya viko chini ya ulimi wake.
8 bHuvizia karibu na vijiji;
kutoka mafichoni huwanasa wasio na hatia,
akivizia wapitaji.
9 cHuvizia kama simba aliye mawindoni;
huvizia kumkamata mnyonge,
huwakamata wanyonge na kuwaburuza
katika wavu wake.
10 dMateka wake hupondwa, huzimia;
wanaanguka katika nguvu zake.
Copyright information for
SwhNEN