‏ Romans 4:6-8

6 aDaudi pia alisema vivyo hivyo aliponena juu ya baraka za mtu ambaye Mungu humhesabia haki pasipo matendo:

7 b“Wamebarikiwa wale
ambao wamesamehewa makosa yao,
ambao dhambi zao zimefunikwa.
8 cHeri mtu yule
Bwana hamhesabii dhambi zake.”
Copyright information for SwhNEN