2 Corinthians 4:10-11

10 aSiku zote twachukua katika mwili kufa kwake Isa ili kwamba uzima wa Isa uweze kudhihirika katika miili yetu. 11 bKwa maana sisi tulio hai siku zote tumetolewa tufe kwa ajili ya Isa, ili kwamba uzima wake upate kudhihirishwa katika mwili wetu upatikanao na mauti.
Copyright information for SwhKC