Ezra 2
Orodha Ya Watu Waliorudi Kutoka Uhamishoni
(Nehemia 7:4-73)
1 aBasi hawa ndio watu wa jimbo waliotoka uhamishoni, ambao Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa amewachukua mateka hadi Babeli (walirudi Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenye mji wake, 2 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
3 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
4 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
5 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
6 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
7 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
8 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
9 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
10 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
11 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
12 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
13 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
14 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
15 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
16 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
17 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
18 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
19 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
20 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
21 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
22 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
23 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
24 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
25 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
26 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
27 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
28 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
29 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
30 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
31 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
32 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
33 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
34 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:35.
35 ▼
36 ▼▼ In this translation, this verse contains text which in some other translations appears in verses Ezr 2:2-Ezr 2:35.
ajwakiwa wamefuatana na Zerubabeli, Yeshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu na Baana): Orodha ya wanaume kati ya watu wa Israeli ilikuwa: cv akwazao wa Paroshi | 2,172 |
cv wazao wa Shefatia | 372 |
cv alwazao wa Ara | 775 |
cv wazao wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu) | 2,812 |
cv wazao wa Elamu | 1,254 |
cv wazao wa Zatu | 945 |
cv wazao wa Zakai | 760 |
cv wazao wa Bani | 642 |
cv wazao wa Bebai | 623 |
cv wazao wa Azgadi | 1,222 |
cv amwazao wa Adonikamu | 666 |
cv wazao wa Bigwai | 2,056 |
cv wazao wa Adini | 454 |
cv wazao wa Ateri (kupitia Hezekia) | 98 |
cv wazao wa Besai | 323 |
cv wazao wa Yora | 112 |
cv wazao wa Hashumu | 223 |
cv anwazao wa Gibari | 95 |
cv aowatu wa Bethlehemu | 123 |
cv wa Netofa | 56 |
cv watu wa Anathothi | 128 |
cv watu wa Azmawethi | 42 |
cv wazao wa Kiriath-Yearimu, Kefira na Beerothi | 743 |
cv apwazao wa Rama na Geba | 621 |
cv watu wa Mikmashi | 122 |
cv aqwatu wa Betheli na Ai | 223 |
cv wazao wa Nebo | 52 |
cv wazao wa Magbishi | 156 |
cv arwazao wa Elamu ile ingine | 1,254 |
cv wazao wa Harimu | 320 |
cv wazao wa Lodi, Hadidi na Ono | 725 |
cv aswazao wa Yeriko | 345 |
cv wazao wa Senaa | 3,630 |
▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:39.
37 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:39.
38 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:39.
39 ▼
43 beWatumishi wa Hekalu: ▼▼ In this translation, this verse contains text which in some other translations appears in verses Ezr 2:36-Ezr 2:39.
axMakuhani: ▼ Yaani Wanethini (pia 2:58, 70).
wazao waSiha, Hasufa, Tabaothi,
44wazao wa Kerosi, Siaha, Padoni,
45wazao wa Lebana, Hagaba, Akubu,
46wazao wa Hagabu, Shalmai, Hanani,
47wazao wa Gideli, Gahari, Reaya,
48wazao wa Resini, Nekoda, Gazamu,
49wazao wa Uza, Pasea, Besai,
50wazao wa Asna, Meunimu, Nefusimu,
51wazao wa Bakbuki, Hakufa, Harhuri,
52wazao wa Basluthi, Mehida, Harsha,
53wazao wa Barkosi, Sisera, Tema,
54 wazao wa Nesia na Hatifa.
55 bgWazao wa watumishi wa Sulemani: wazao wa
Sotai, Hasaferethi, Peruda,
56wazao wa Yaala, Darkoni, Gideli,
57 ▼
▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:58.
58 ▼
Pokereth-Hasebaimu na Ami.
▼ In this translation, this verse contains text which in some other translations appears in verses Ezr 2:57-Ezr 2:58.
wazao wa Shefatia, Hatili,Pokereth-Hasebaimu na Ami.
cv bjWatumishi wa Hekalu wote na wazao wa watumishi wa Sulemani | 392 |
59 ▼
▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Ezr 2:60.
60 ▼
61 bnKutoka miongoni mwa makuhani: Wazao wa▼ In this translation, this verse contains text which in some other translations appears in verses Ezr 2:59-Ezr 2:60.
bmWafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli:cv wazao wa Delaya, Tobia na Nekoda | 652 |
Hobaya, Hakosi, Barzilai (mtu aliyekuwa amemwoa binti wa Barzilai, Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo).
62 boHawa walitafuta orodha za jamaa zao, lakini hawakuonekana humo, kwa hiyo waliondolewa kutoka kundi la makuhani kwa kuwa walihesabiwa kuwa najisi.
63 bpMtawala aliagiza kuwa wasile chochote miongoni mwa vyakula vitakatifu hadi kuwe kuhani atakayehudumu kwa Urimu na Thumimu. ▼
▼ Urimu na Thumimu maana yake ni Nuru na Kweli; vifaa hivi viliwekwa kwenye kifuko cha kifuani cha kisibau cha kuhani mkuu ili kujua mapenzi ya Mungu kwenye mambo ya kutatanisha.
64Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360; 65 brtena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 200. 66 bsWalikuwa na farasi 736, nyumbu 245,
67ngamia 435 na punda 6,720.
68 btWalipofika kwenye nyumba ya Bwana huko Yerusalemu, baadhi ya viongozi wa jamaa walitoa sadaka za hiari kwa ajili ya kujenga upya nyumba ya Mungu katika eneo lake. 69Wakatoa kwa kadiri ya uwezo wao na kutia katika hazina darkoni 61,000 ▼
▼ Darkoni 61,000 za dhahabu ni sawa na kilo 500.
za dhahabu, mane 5,000 ▼▼ Mane 5,000 za fedha ni sawa na kilo 2,900.
za fedha, na mavazi 100 ya ukuhani kwa ajili ya kazi hiyo. 70 bwMakuhani, Walawi, waimbaji, mabawabu, na watumishi wa Hekalu waliishi katika miji yao wenyewe, pamoja na baadhi ya watu wengine, nao Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao.
Copyright information for
SwhKC