Galatians 4:13-14

13 aNinyi mwajua kwamba ni kwa ajili ya udhaifu wangu niliwahubiria Injili. 14 bIngawa hali yangu iliwatia majaribuni, hamkunidharau wala kunidhihaki, bali mlinikaribisha kama malaika wa Mungu, kama vile Al-Masihi Isa.
Copyright information for SwhKC