b Yos 12:5; Hes 21:21-25; Yos 13:10; Amu 11:19; Hes 32:34; Yos 13:16; Mwa 19:38; 31:21; 32:22; Hes 32:26; Kum 2:36; 3:15; Yos 13:11, 25; 17:1; 20:8; 21:38; Amu 5:17; 7:3; 10:8
Joshua 12
Orodha Ya Wafalme Walioshindwa
1 aHawa ndio wafalme wa nchi ambao Waisraeli waliwashinda na kuitwaa nchi yao upande wa mashariki mwa Yordani, kuanzia Bonde la Arnoni mpaka Mlima Hermoni, pamoja na eneo lote la upande wa mashariki ya Araba: 2 bSihoni mfalme wa Waamori, ambaye alitawala huko Heshboni. Alitawala kuanzia Aroeri kwenye ukingo wa Bonde la Arnoni, kuanzia katikati ya bonde, hadi kwenye Mto Yaboki, ambao ni mpaka wa Waamoni. Hii ilijumlisha nusu ya Gileadi. 3 cPia alitawala Araba ya mashariki kuanzia Bahari ya Kinerethi ▼▼ Yaani Bahari ya Galilaya.
hadi Bahari ya Araba (yaani Bahari ya Chumvi ▼▼ Yaani Bahari Mfu.
), hadi Beth-Yeshimothi, kisha kuelekea kusini chini ya materemko ya Pisga. 4 fNayo nchi ya Ogu mfalme wa Bashani, aliyekuwa mmoja wa mabaki ya Warefai, aliyetawala Ashtarothi na Edrei. 5 gNaye alitawala katika Mlima Hermoni, Saleka, Bashani yote hadi mpaka wa watu wa Geshuri, na watu wa Maaka na nusu ya Gileadi, hadi kwenye mpaka wa Sihoni mfalme wa Heshboni. 6 hMusa, mtumishi wa Bwana, na Waisraeli wakawashinda. Naye Musa mtumishi wa Bwana akawapa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase nchi ya hao wafalme ili iwe milki yao. 7 iHawa ndio wafalme wa nchi ambao Yoshua na Waisraeli waliwashinda upande wa magharibi mwa Yordani, kuanzia Baal-Gadi katika Bonde la Lebanoni hadi kufikia Mlima Halaki, unaoinuka ukielekea Seiri. (Yoshua alitoa nchi zao kwa makabila ya Israeli iwe urithi wao sawasawa na mgawanyiko wa makabila yao: 8 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Yos 12:24.
9 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Yos 12:24.
10 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Yos 12:24.
11 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Yos 12:24.
12 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Yos 12:24.
13 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Yos 12:24.
14 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Yos 12:24.
15 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Yos 12:24.
16 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Yos 12:24.
17 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Yos 12:24.
18 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Yos 12:24.
19 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Yos 12:24.
20 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Yos 12:24.
21 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Yos 12:24.
22 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Yos 12:24.
23 ▼▼ This verse is empty because in this translation its contents have been moved to form part of verse Yos 12:24.
24 ▼
wafalme jumla yao ilikuwa thelathini na mmoja.
▼ In this translation, this verse contains text which in some other translations appears in verses Yos 12:8-Yos 12:24.
aanchi ya vilima, shefela, upande wa magharibi, Araba, materemko ya milima, jangwa, na Negebu; nchi za Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi): cv abmfalme wa Yeriko | mmoja |
mfalme wa Ai (karibu na Betheli) | mmoja |
cv acmfalme wa Yerusalemu | mmoja |
mfalme wa Hebroni | mmoja |
cv admfalme wa Yarmuthi | mmoja |
mfalme wa Lakishi | mmoja |
cv aemfalme wa Egloni | mmoja |
mfalme wa Gezeri | mmoja |
cv mfalme wa Debiri | mmoja |
mfalme wa Gederi | mmoja |
cv afmfalme wa Horma | mmoja |
mfalme wa Aradi | mmoja |
cv agmfalme wa Libna | mmoja |
mfalme wa Adulamu | mmoja |
cv ahmfalme wa Makeda | mmoja |
mfalme wa Betheli | mmoja |
cv aimfalme wa Tapua | mmoja |
mfalme wa Heferi | mmoja |
cv ajmfalme wa Afeki | mmoja |
mfalme wa Lasharoni | mmoja |
cv akmfalme wa Madoni | mmoja |
mfalme wa Hazori | mmoja |
cv almfalme wa Shimron-Meroni | mmoja |
mfalme wa Akishafu | mmoja |
cv ammfalme wa Taanaki | mmoja |
mfalme wa Megido | mmoja |
cv anmfalme wa Kedeshi | mmoja |
mfalme wa Yokneamu katika Karmeli | mmoja |
cv aomfalme wa Dori (katika Nafoth-Dori) ▼ ▼ Au: katika miinuko ya Nafoth-Dori. | mmoja |
mfalme wa Goimu katika Gilgali | mmoja |
cv aqmfalme wa Tirsa | mmoja |
Copyright information for
SwhKC