Numbers 31:1-3
Kulipiza Kisasi Juu Ya Wamidiani
1 Bwana akamwambia Musa, 2 a“Uwalipize kisasi Wamidiani kwa ajili ya Waisraeli. Halafu baada ya hayo, utakufa.” 3 bKwa hiyo Musa akawaambia watu, “Waandaeni baadhi ya wanaume wenu waende vitani kupigana na Wamidiani ili wawalipize kisasi cha Bwana.
Copyright information for
SwhKC