1 Corinthians 1:29-31

29 aili mtu yeyote asijisifu mbele zake. 30 bBali kwa yeye ninyi mmepata kuwa katika Al-Masihi Isa, aliyefanyika kwetu hekima itokayo kwa Mungu, yaani haki, na utakatifu na ukombozi. 31 cHivyo, kama ilivyoandikwa: “Yeye ajisifuye na ajisifu katika Bwana.”
Copyright information for SwhKC