1 Corinthians 2:9-10
9 aLakini ni kama ilivyoandikwa: “Hakuna jicho limepata kuona,wala sikio limepata kusikia,
wala hayakuingia moyoni wowote,
yale Mungu amewaandalia
wale wampendao”:
10 bLakini mambo haya Mungu ametufunulia kwa Roho wake. Roho huchunguza kila kitu, hata mambo ya ndani sana ya Mungu.
Copyright information for
SwhKC