Hebrews 13:21

21awafanye ninyi wakamilifu mkiwa mmekamilishwa katika kila jambo jema ili mpate kutenda mapenzi yake, naye atende ndani yetu kile kinachompendeza machoni Pake, kwa njia ya Isa Al-Masihi, ambaye utukufu una yeye milele na milele. Amen.

Maneno Ya Mwisho Na Salamu

Copyright information for SwhKC