Matthew 21:20-22
20 aWanafunzi wake walipoona jambo hili, wakashangaa, wakamuuliza, “Imekuwaje mtini huu kunyauka ghafula?” 21 bIsa akawajibu, “Amin, nawaambia, kama mkiwa na imani wala msiwe na shaka, si kwamba mtaweza kufanya tu yale yaliyofanyika kwa huu mtini, bali hata mkiuambia huu mlima, ‘Ng’oka, ukatupwe baharini,’ litafanyika. 22 cYoyote mtakayoyaomba mkisali na mkiamini, mtayapokea.”Wahoji Kuhusu Mamlaka Ya Isa
(Marko 11:27-33; Luka 20:1-8)
Copyright information for
SwhKC