Matthew 3:1-3
Yahya Mbatizaji Atayarisha Njia
(Marko 1:1-8; Luka 3:1-18; Yohana 1:19-28)
1 aSiku hizo Yahya Mbatizaji alikuja akihubiri katika nyika ya Uyahudi, akisema, 2 b“Tubuni, kwa maana Ufalme wa Mbinguni umekaribia.” 3 cHuyu ndiye yule aliyenenwa habari zake na nabii Isaya aliposema: “Sauti ya mtu aliaye huko nyikani,‘Tayarisheni njia kwa ajili ya Bwana,
yanyoosheni mapito yake.’ ”
Copyright information for
SwhKC