1 Corinthians 3:6-8
6 aMimi nilipanda mbegu, Apolo akatia maji, lakini Mungu ndiye aliikuza. 7 bHivyo mwenye kupanda na mwenye kutia maji si kitu, bali Mungu peke yake ambaye huifanya ikue. 8 cApandaye mbegu ana lengo sawa na yule atiaye maji na kila mmoja atalipwa kulingana na kazi yake.
Copyright information for
SwhNEN