‏ 1 Corinthians 7:7-8

7 aLaiti watu wangekuwa kama mimi nilivyo. Lakini kila mtu amepewa kipawa chake kutoka kwa Mungu, mmoja ana kipawa cha namna hii na mwingine ana cha namna ile.

8 bKwa wale wasiooa na kwa wajane, nasema hivi, ingekuwa vizuri wasioe.
Copyright information for SwhNEN