‏ 2 Chronicles 11:20

20 aKisha akamwoa Maaka binti Absalomu, ambaye alimzalia: Abiya, Atai, Ziza na Shelomithi.
Copyright information for SwhNEN