2 Corinthians 12:11
Wasiwasi Wa Paulo Kwa Wakorintho
11 aNimekuwa mjinga, lakini ninyi mmenilazimisha niwe hivyo. Kwa kuwa ilinipasa kusifiwa na ninyi, kwa sababu mimi si dhalili kuliko wale “mitume walio bora,” ingawa mimi si kitu.
Copyright information for
SwhNEN