‏ 2 Kings 20:21

21Hezekia akafa, akazikwa pamoja na baba zake. Naye Manase mwanawe akawa mfalme baada yake.

Copyright information for SwhNEN