‏ 2 Kings 25:22

22 aNebukadneza mfalme wa Babeli akamteua Gedalia mwana wa Ahikamu, mwana wa Shafani, awe msimamizi wa watu aliowaacha Yuda.
Copyright information for SwhNEN