2 Kings 6:25
25 aKukawa na njaa kuu katika mji. Samaria ilizingirwa kwa muda mrefu, kiasi kwamba kichwa cha punda kiliuzwa kwa shekeli themanini ▼▼Shekeli 80 za fedha ni sawa na kilo moja.
za fedha, na robo ya kibaba ▼▼Robo ya kibaba ni sawa na lita 0.3.
cha mavi ya njiwa kiliuzwa kwa shekeli tano ▼▼Shekeli tano za fedha ni sawa na gramu 55.
za fedha.
Copyright information for
SwhNEN