Amos 1:7-8
7 anitatuma moto juu ya kuta za Gazaambao utateketeza ngome zake.
8 bNitamwangamiza mfalme wa Ashdodi
na yeye aishikaye fimbo ya utawala katika Ashkeloni.
Nitaugeuza mkono wangu dhidi ya Ekroni,
hadi Mfilisti wa mwisho atakapokufa,”
asema Bwana Mwenyezi.
Copyright information for
SwhNEN