‏ Deuteronomy 17:14

Mfalme

14 aWakati utakapoingia katika nchi anayowapa Bwana Mungu wenu kuimiliki na kukaa humo, nanyi mkasema, “Na tumweke mfalme juu yetu kama mataifa yanayotuzunguka,”
Copyright information for SwhNEN