Deuteronomy 33:29
29 aEe Israeli, wewe umebarikiwa!Ni nani kama wewe,
taifa lililookolewa na Bwana?
Yeye ni ngao yako na msaada wako,
na upanga wako uliotukuka.
Adui zako watatetemeka mbele yako,
nawe utapakanyaga
mahali pao pa juu.” ▼
▼Utapakanyaga mahali pao pa juu maana yake mtakanyaga juu ya miili yao.
Copyright information for
SwhNEN