Exodus 28:15
Kifuko Cha Kifuani
(Kutoka 39:8-21)
15 a“Fanyiza kifuko cha kifuani kwa ajili ya kufanya maamuzi, kazi ya fundi stadi. Kitengeneze kama kile kisibau: cha dhahabu, na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu, cha kitani safi iliyosokotwa.
Copyright information for
SwhNEN