Exodus 37:1
Sanduku La Agano
1 aBezaleli akatengeneza Sanduku la mbao za mshita: urefu wake ulikuwa dhiraa mbili na nusu, ▼▼Dhiraa moja na nusu ni sawa na mita 1.13.
upana wake dhiraa moja na nusu, na kimo chake dhiraa moja na nusu.
Copyright information for
SwhNEN