Ezekiel 40:19
19 aKisha akapima umbali kutoka ndani ya lango la chini mpaka nje ya ukumbi wa ndani, nao ulikuwa dhiraa mia moja ▼▼Dhiraa 100 ni sawa na mita 45.
upande wa mashariki na dhiraa mia moja upande wa kaskazini.
Copyright information for
SwhNEN