‏ Ezekiel 44:28

28 a“ ‘Mimi nitakuwa ndio urithi pekee walio nao makuhani katika Israeli. Msiwape wao milki, mimi nitakuwa milki yao.
Copyright information for SwhNEN