‏ Ezekiel 45:12

12 aShekeli moja itakuwa gera ishirini.
Gera 20 ni sawa na shekeli 1.
Shekeli ishirini, jumlisha na shekeli ishirini na tano, jumlisha na shekeli kumi na tano zitakuwa mina moja.
Mina 1 hapa ni sawa na shekeli 60; mina ya kawaida ilikuwa sawa na shekeli 50.


Copyright information for SwhNEN