‏ Isaiah 28:22

22 aSasa acheni dharau zenu,
la sivyo minyororo yenu itakuwa mizito zaidi.
Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, ameniambia
habari za maangamizi yaliyoamriwa dhidi ya nchi yote.
Copyright information for SwhNEN