‏ Isaiah 36:21

21 aLakini wale watu wakakaa kimya, wala hawakujibu lolote, kwa kuwa mfalme alikuwa amewaamuru, “Msimjibu lolote.”

Copyright information for SwhNEN