‏ Isaiah 40:10

10 aTazameni, Bwana Mwenyezi anakuja na nguvu,
nao mkono wake ndio utawalao kwa ajili yake.
Tazameni, ujira wake u pamoja naye,
nayo malipo yake yanafuatana naye.
Copyright information for SwhNEN