Isaiah 40:12
12 aNi nani aliyepima maji ya bahari
kwenye konzi ya mkono wake,
au kuzipima mbingu kwa shibiri ▼
▼Shibiri ni sawa na sentimita 20 au inchi 8.
yake?Ni nani aliyeyashika mavumbi ya dunia katika kikapu,
au kupima milima kwenye kipimio
na vilima kwenye mizani?
Copyright information for
SwhNEN