‏ Isaiah 40:19

19 aKwa habari ya sanamu, fundi huisubu,
naye mfua dhahabu huifunika kwa dhahabu
na kuitengenezea mikufu ya fedha.
Copyright information for SwhNEN